Utafiti uliofanywa na Mamlaka ya
Hali ya Hewa ya Uingereza umesema miaka miwili ijayo itakuwa yenye
joto kali katika rekodi ya dunia.
Utafiti huo umeonya kuwa mabadiliko
makuwa yanatarajiwa kuwepo katika mfumo wa hali ya hewa huku gesi ya
ukaa ikichangia kuongeza athari.
Utafiti huo unaonyesha mvua kubwa za
El Nino zitakuwepo eneo la Pacific, ambayo inatarajiwa kuongeza joto
kali duniani.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni