Mchezaji Ruben Loftus-Cheek akitokea
benchi amefanikiwa kufunga goli lake la kwanza akiwa na Chelsea baada
ya Diego Costa kufunga goli la kwanza katika mchezo wa kombe la FA
dhidi ya Scunthorpe.
Katika mchezo huo Chelsea
imefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 katika dimba la la
nyumbani la Stanford Bridge na kufanikiwa kutinga raundi ya nne ya
michuano ya Kombe la FA.
Diego Costa akifunga bao la kwanza katika dakika ya 12
Ruben Loftus-Cheek akishangilia bao lake akiwa na Diego Costa
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni