Huenda huu ukawa ni mwanzo mzuri wa
urafiki baina ya Gareth bale na kocha mpya wa Real Madrid, Zinedine
Zidane, baada ya mchezaji huyo kupachika wavuni mabao matato yaani
hat-trick wakati Real ikiigaragaza Deportivo kwa mabao 5-0.
Bale alipachika mabao hayo yake ya
49, 50 na 51 katika mchezo wake wa 108 akiwa na klabu ya Madrid.
Zidane ambaye sasa ni kocha alifunga mabao 49 katika michezo 231
akiichezea Real Madrid.
Gareth Bale akipachika bao kwa kichwa
Karim Benzema akipachika bao na kumuacha kipa akiuangalia mpira
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni