Muigizaji filamu Sean Penn ameungana
na mkewe wa zamani mwanamuziki Madonna katika hafla ya kuchangisha
fedha kwa ajili ya Haiti, licha ya mamlaka za Mexico kumchunguza kwa
kufanya mahojiano ya siri na mkuu wa genge la dawa za kulevya El
Chapo.
Katika hafla hiyo iliyofanyika The
Montage Hotel, huko Beverly Hills, Madonna ambaye alifanikiwa
kukusanya kiasi cha dola milioni 6, aliambatana na watoto wake wa
kuasili David Banda pamoja na Mercy James.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni