Kambi ya wahamiaji ya Calais inaweza
kuwa ni hifadhi ya wapiganaji wa jihadi wanaorejea kujificha kabla
ya kuingia kwa njia za panya Ulaya, Mkuu wa zamani wa polisi wa
kukabiliana na ugaidi amesema.
Katika ziara yake kwenye kambi ya
Calais Kevin Hurley amesema anahofu na kambi hiyo kutokana na
kutokuwa kabisa na usimamizi wa kipolisi.
Hata hivyo mkuu wa taasisi ya msaada
inayoshughulikia kambi hiyo amesema kauli hiyo Bw. Hurley ni ya
kupuuziwa.
Kambi hiyo nje ya mji wa Calais,
imekuwa katika miezi ya hivi karibuni na sasa imekuwa ni makazi ya
maelfu ya wahamiaji.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni