Umoja wa Mataifa umesema msafara
umeanza kuingia mji unaomilikiwa na waasi wa Madaya nchini Syria
ukiwa na chakula cha kutosha kwa watu 40,000 kwa mwezi mmoja.
Wakazi wa mji huo wamekwama katika
mji huo kwa miezi sita, kutokana na serikali kuzuia kupelekwa misaada
tangu Oktoba, mwaka jana.
Umoja wa Mataifa umesema umepata
taarifa za uhakika kuwa watu wanakufa kwenye mji huo wa Madaya kwa
njaa.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni