Viongozi wa chama cha Republican
wamepinga mpango wa rais Barack Obama wa kutaka kudhibiti upatikanaji
wa silaha kwa wananchi.
Spika wa baraza la wawakilishi Paul
Ryan maagizo ya ngazi za juu ambayo yanayolikwepa baraza la Congress
yanakiuka uhuru na yanapaswa kupingwa mahakamani.
Mtia nia ya urais wa Marekani kwa
chama cha Republican anayeongoza Donald Trump amesema iwapo
atachaguliwa kuwa rais atazifuta hatua hizo za kudhibiti umiliki wa
silaha.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni