Wahamiaji sita wamebainika wakiwa wamejificha kwenye maeno
yenye nafasi finyu kwenye gari wakisafirishwa na genge la mafia la
usafirishaji haramu watu.
Wahamiaji hao wamebainika na kikosi cha ulinzi cha Hispania kwa
kipindi cha siku mbili kwenye mpaka na Morocco na eneo la Hispania
lililo ingia kaskazini mwa Afrika la Melilla.
Wahamiaji hao wote sita ni vijana wa kiume kutoka Guinea na
walikuwa wanasafiri bila nyaraka zozote, kwa mujibu wa mamlaka za
Hispania.
Mhamiaji haramu akiibuliwa na polisi kwenye chimbo alilojificha kwenye gari
Hili ndilo eneo mhamiaji huyo alikuwa amejichimbia kwenye gari akisafirishwa kwenda Ulaya
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni