Mkurugenzi wa MCDI,Jasper Makala Akikabidhi Tuzo yake kwa Mkuu wa Mkoa wa Lindi,Godfrey Zambi kwa Heshima ya Mkoa huo,Makabidhiano hayo yamefanyika katika warsha ya Kujadili Mgawanyo wa Mipaka kati ya Kijiji cha Nanjirinji Wilayani Kilwa na Mirui ya Wilayani Liwale katika Mkoa wa Lindi
Mkuu wa Mkoa wa Lindi,Godfrey Zambi akiwa katika Picha ya Pamoja na Jasper Makala na Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri za Wilaya za Mkoa Huo
Mkuu wa Mkoa wa Lindi aliongea na Wadau mbalimbali wa Misitu wakiwemo,Wakuu wa Wilaya,Wenyeviti na Wakurugenzi wa Halmashauri waliohudhuria Hafla Hiyo(Hawapo Pichani)kushito ni Jasper Makala,Mkurugenzi MCDI.
Kutoka Kushoto-Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Liwale,Gaudence Nyamwihura ,Mkuu wa Wilaya ya Liwale,Ephraim Mmbaga,Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa,Mariam Mtima,Jasper Makala,Pololeti Mgema,Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea na Nicholas Kombe,Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa wakishikilia kwa pamoja Tuzo iliyopokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Lindi
Mkuu wa Wilaya ya Liwale,Ephraim Mmbaga Akitoa Shukran kwa Niaba ya wakuu wa Wilaya na Wananchi wa Mkoa wa Lindi kufuatia Mkoa Huo Kushinda Tuzo hiyo iliyotolewa na Mwana wa Mfalme wa Uingereza kwa Jasper Makala wa Shirika la Kuhifadhi Mpingo Wilayani Kilwa na Kusaidia Mkoa Huo Kuhifadhi Misitu na Utawala Bora wa Vijiji vyenye Misitu
Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea,Pololeti Mgema pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa Bi Mariam Mtima Wakichuhudia Zoezi la La Mkuu Wa Mkoa kupokea Tuzo ya Whitley Award
Bango la Uhindi wa Tuzo hiyo
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni