Viongozi wa dini wakiwa katika kikao, kilicho wahusisha waandishi wa Habari wa mkoa wa Mwanza, wakati wa Uzinduzi wa kampeni ya kuzuia uhalifu mkoa wa Mwanza yenye lengo la kupiga vita uhalifu wa aina yoyote katika mkoa wa Mwanza ambayo inahusisha wadau mbalimbali pamoja na wananchi katika mkoa huo.
Baadhi ya Washiriki wa Uzinduzi wa Kampeni yakupambana na Uhalifu chini ya Chama cha kupambana na Uhalifu na dawa za kulevya nchini OJADACT
Mwenyekiti wa OJADACT. BW. Edwin Soko akitoa maelezo ya awali wakati wa uzinduzi wa kampeni ya kuzuia uhalifu, iliyo zinduliwa na chama hicho kwakushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama.
Picha zote na Atley Kuni- Msemaji wa OJADACT. Tanzania
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni