Mchezo wa kesho wa timu za Jiji
Manchester za Manchester United na Manchester City unatarajiwa kuwa
mchezo ghali kuliko yote duniani katika historia ya soka kutokana na
timu hizo mbili kwa pamoja kutumia paundi milioni 600 kwa usajili
kuimarisha vikosi vyao.
Zikiwa na makocha mpya timu hizo
mbili za Manchester, United wakiwa na Jose Mourinho na City
wakinolewa na Pep Guardiola wenye upinzani wa jadi wote walimwaga
fedha kuhakikisha wanajijenga kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu.
Paul Pogba amesajiliwa kwa kitita kinachofikia paundi milioni 100
Beki John Stones alisajiliwa kwa kiasi cha paundi milioni 47.5
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni