JAMHURI
YA MUUNGANO WA TANZANIA
KURUGENZI
YA MAWASILIANO YA RAIS IKULU
Simu:
255-22-2114512, 2116898
E-mail:
press@ikulu.go.tz
Tovuti :
www.ikulu.go.tz
Faksi: 255-22-2113425 |
OFISI YA RAIS,
IKULU,
1 BARABARA YA BARACK
OBAMA,
11400
DAR ES SALAAM.
Tanzania.
|
TAARIFA
KWA VYOMBO VYA HABARI
Ikulu,
Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, leo
tarehe 23 Machi, 2017 amefanya mabadiliko madogo katika Baraza la
Mawaziri.
Katika
Mabadiliko hayo, Mhe. Rais Magufuli amemteua Prof. Palamagamba Aidan
John Mwaluko Kabudi kuwa Waziri wa Katiba na Sheria.
Aidha,
Mhe. Dkt. Magufuli amemteua Dkt. Harrison George Mwakyembe kuwa
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo.
Wateule
wote wataapishwa kesho Mchana tarehe 24 Machi, 2017 Ikulu, Jijini Dar
es Salaam.
Gerson
Msigwa
Mkurugenzi
wa Mawasiliano ya Rais, IKULU
Dar
es Salaam
23
Machi, 2017
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni