Manchester United imejikuta
ikilazimishwa sare katika dakika za mwisho na kunyimwa ushindi
ugenini na Anderlecht katika mchezo wa robo.
Alikuwa Leander Dendoncker
aliyemzidi beki Matteo Darmian na kufunga goli la kusawazisha kwa
kichwa katika dakika ya 86.
Kipindi chote kabla ya goli hilo
Manchester Until walikuwa wamewatawala wenyeji wao, na walipata goli
katika kipindi cha kwanza lililofungwa na Henrikh Mkhitaryan.
Henrikh Mkhitaryan akifunga goli baada ya shuti la Marcus Rashford kupanguliwa
Marcos Roj0, Matteo Darmian na kipa Sergio Romero wakiwa wamechanganyikiwa baada ya kufungwa goli la kusawazisha
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni