.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 14 Mei 2017

TRA WATOA SEMINA YA MASUALA YA KODI KWA WANAHABARI TANZANIA

Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa mlipa kodi, Richard Kayombo akizungumza kwenye Semina ya masuala ya kodi kwa wanahabari iliyoandaliwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na kufanyika katika ukumbi wa BOT jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Ofisa Kodi Mkuu wa TRA, Sydney Mkamba na Anjela Michael (kulia) Mwenyekiti wa Semina hiyo.Ofisa Mkuu wa Huduma na Elimu kwa Mlipa Kodi Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Gabriel Mwangosi (wa kwanza kushoto) akiwasilisha mada katika Semina ya masuala ya kodi iliyoandaliwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).Ofisa Mkuu wa Huduma na Elimu kwa Mlipa Kodi Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Gabriel Mwangosi (wa kwanza kushoto) akiwasilisha mada katika Semina ya masuala ya kodi iliyoandaliwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).Baadhi ya wanahabari wakiwa katika Semina ya masuala ya kodi iliyoandaliwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na kufanyika katika ukumbi wa BOT jijini Dar es Salaam.Baadhi ya wanahabari wakiwa katika Semina ya masuala ya kodi iliyoandaliwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na kufanyika katika ukumbi wa BOT jijini Dar es Salaam.Baadhi ya wanahabari wakiwa katika Semina ya masuala ya kodi iliyoandaliwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na kufanyika katika ukumbi wa BOT jijini Dar es Salaam.Semina ya masuala ya kodi iliyoandaliwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ikiendelea.Baadhi ya wanahabari wakiwa katika Semina ya masuala ya kodi iliyoandaliwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na kufanyika katika ukumbi wa BOT jijini Dar es Salaam.Baadhi ya wanahabari wakiwa katika Semina ya masuala ya kodi iliyoandaliwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na kufanyika katika ukumbi wa BOT jijini Dar es Salaam.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni