Marouane Fellaini, aliyeingia
kuchukua nafasi ya Paul Pogba aliyeumia katika kipindi cha kwanza,
aliruka juu na kufunga goli la kwanza kwa kichwa mpira uliopigwa na
Ashley Young.
Romelu Lukaku aliongeza goli la pili
akiwa katika msitu wa wachezaji wa Basel baada ya kunasa krosi ya
Daley Blind, Marcus Rashford akafunga la tatu dakika saba tu tangu
aingie dimbani.
Marouane Fellaini akiruka juu na kuupiga kwa kichwa mpira uliozaa goli la kwanza
Romelu Lukaku akijipinda kujaribu kufunga goli katika mchezo huo
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni