.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 11 Oktoba 2017

ZAIDI YA WALIMU ELFU 15 WASHINDWA KUFAULU MTIHANI WA ELIMU YA MSINGI WA WANAFUNZI WAO

Maelfu ya walimu wa shule za msingi Nigeria katika jimbo la Kaskazini la Kaduna watafukuzwa kazi baada ya kushindwa kufaulu mtihani uliotungwa kwa ajili ya wanafunzi wa miaka sita.

Gavana wa jimbo hilo Nasir El-Rufai amesema kati ya walimu 21,780, theluthi mbili wameshindwa kufikisha alama 75 ambayo ndio kiwango cha ufaulu kilichopangwa kwa wanafunzi wao.

Gavana El-Rufai amesema wataajiri walimu wapya 25,000 ili kuziba nafasi za walimu ambao wameshindwa kufaulu mtihani wa wanafunzi wao ambao watatimuliwa kazi.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni