.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Ijumaa, 1 Desemba 2017

KAMPUNI YA TESLA YAJENGA BERTI KUBWA YA KUZALISHA UMEME MEGAWATI 100

Betri kubwa kabisa duniani aina ya lithium imeanza kusambaza umeme kuingiza katika gridi ya umeme kusini mwa Australia.

Betri hiyo inayozalisha umeme wa Megawati 100, imetengenezwa na kampuni ya Tesla, imezinduliwa rasmi leo, licha ya kuanza kusambaza umeme tangu jana,

Hali ya joto kali imechangia kuongezeka kwa mahitaji ya umeme kusini mwa Australia na Bosi wa Tesla Elon Musk aliahidi kujenga betri kubwa na kufanikisha kufanya hivyo ndani ya siku 100.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni