Silva alifunga magoli mawili na kisha Kevin
de Bruyne alifunga moja na Sergio Aguero aliihakikishia Manchester
City kuongoza ligi kwa tofauti ya pointi 11, huku Swansea ikibakia mkiani
mwa Ligi hiyo.
David Silva 'Mnyama' akifunga goli la kwanza kwa kuugonga kiaina mpira
Puel alitimuliwa na Southmpton mwezi
Juni, baada ya kuinoa kwa msimu mmoja na kuisaidia kushika nafasi ya
nane na kuifikisha fainali ya Kombe la Ligi.
Riyad Mahrez akifunga goli la kwanza la Leicester City katika mchezo huo
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni