Kocha waArsenal, Arsene Wenger,
amesema kitendo cha kikosi chake kuanza mchezo kwa kasi ndogo
kimekuwa tatizo sasa, baada ya kutoka sare ya 1-1 na Southampton.
Mchezaji aliyetokea benchi Olivier
Giroud alifunga goli zuri la dakika za mwisho na kusawazisha goli
lililofungwa na Charlie Austin.
Olivier Giroud akifungwa kwa mpira wa kichwa uliomgonga beki Alexis Sanchez
Kocha wa Liverpool, Jurgen Klopp
amemtuhumu refa Craig Pawson kwa kutoa fursa kwa Everton kuambulia
pointi katika mchezo ambao waliutawala katika dimba la Merseyside.
Kapteni wa Everton, Wayne Rooney
alisawazisha goli kwa mkwaju wa penati baada ya refa kusema Dejan
Lovren alimsukuma Dominic Calvert-Lewin.
Wayne Rooney akifunga goli la kuzawazisha kwa mkwaju wa penati
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni