Balozi Seif pamoja na Mkuu wa Jeshi la Nchi Kavu Meja General Sharif Sheikh Othman wakitoa heshima wakati Miili ya mwashujaa ikiteremshwa kwenye ndege.
Balozi wa Kuweit Nchini Tanzania Bwana Jassem Alnajem wa kwanza kutoka kushoto akijumuika pamoja na Viongozi wa Kiserikali katika kuipokea Miili ya askari wa Tanzania waliouawa Nchini DRC Wiki iliyopita.
Mawaziri mbali mbali wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wakishuhudia kuwasili kwa Miili yaWanajeshi wa Tanzania waliouawa na waasi wa ADF Nchini DRC.
Balozi Seif akiongoza Viongozi na Wananchi wa Zanzibar katika kuipokea miili ya Makeshi ya Tanzania yaliyouawa Nchini Jamuhuri ya Kisemokrasi ya Congo.
Majeshi ya Wananchi wa Tanzania wakiichukuwa Miili ya Askari wenzao wakiwasili katika Viwanja vya Makao Makuu ya Brigedia Nyuki Migombani kwa ajili ya kuagwa rasmi Kiserikali.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akitoa salamu za pole kwenye shughuli Maalum ya Kuiaga Miili ya Wanajeshi wa JWTZ hapo Migombani Mjini Zanzibar.
Balozi Seif akilaani kitendo cha wasi wa ADF Nchini DRC kuwashambulia walinzi wa amani wa JWTZ waliouwa katika Vikosi vya Umoja wa Mataifa na hatimae kusababisha vifo vyao. Balozi Seif akiongoza baadhi ya Mawaziri na Viongozi wa Kitaifa katika kutoa Heshima za mwisho kwa askari Tisa wa Jeshi la Ulinziwa Tanzania hapo Migombani Mjini Zanzibar. Balozi Seif akiweka saini kitabu cha maombolezo kufuatia vifo vya askari Tisa wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania hapo Migombani Mjini Zanzibar. Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Mahmoud Mussa Wadi akiweka saini Kitabu cha maombolezo kufuatia vifo vya askari Tisa wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania hapo Migombani Mjini Zanzibar. Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mheshimiwa Zubeir Ali Mulid akiweka saini Kitabu cha maombolezo kufuatia vifo vya askari Tisa wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania hapo Migombani Mjini Zanzibar. Katibu wa Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Fadhil Soraga akitoa Dua kwa ajili ya kuwaombea Mashuja Askari wa Tanzania waliouawa na waasi wa ADF hapo Migombani.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akimfariji Mama wa Askari wa JWTZ Iddi Abdulla Ali Mama Shinuna Juma hapo Migombani.
Picha na – OMPR – ZNZ.
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni