Jumatano, 6 Desemba 2017
WAZIRI MKUU, KASSIM MAJALIWA AKAGUA UJENZI WA OFISI NA MAKAZI YA MAKAMU WA RAIS
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Kaimu Meneja wa TBA-Dodoma, Steven Simba (kulia) wakati alipokwenda kukagua ofisi na makazi ya muda ya Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan mjini Dodoma Desemba 6, 2017 (kushoto) ni Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Bi. Maimuna Tarishi, na wapili kushoto ni Waziri wa Nchi Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu Jenista Mhagama. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ukarabati wa makazi ya Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan mjini Dodoma Desemba 6, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea maelezo ya ujenzi kutoka kwa Msanifu Majengo, Edward Kayombo (kulia) wakati alipoenda kukagua ofisi na makazi ya Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan mjini Dodoma Desemba 6, 2017 wa pili kulia ni Kaimu Meneja wa TBA-Dodoma, Steven Simba (kushoto) ni Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Bi. Maimuna Tarishi, na wapili kushoto ni Waziri wa Nchi Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu Jenista Mhagama. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipewa maelezo ya mpangilio wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan kutoka kwa Msanifu Majengo, Edward Kayombo (kulia) wakati alipokwenda kukagua ofisi hiyo mjini Dodoma Desemba 6, 2017 (katikati) ni Waziri wa Nchi Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni