Waziri wa Viwanda na Uwekezaji,
Charles Mwijage, akizungumza na wajumbe wa bodi mpya ya Kampuni ya
Mbolea ya Taifa (TFC), (hawapo pichani), wakati akiizindua bodi hiyo
jijini Dar es Salaam jana.
Wajumbe wa bodi hiyo wakiwa katika
hafla ya uzinduzi
Mwenyekiti wa bodi hiyo, Profesa,
Egid Mbofu, akizungumza katika uzinduzi huo. Kulia ni Meneja Mkuu wa
TFC, Salum Mkumba
Wajumbe wa bodi hiyo wakiwa bize
kuchukua maagizo ya Waziri Mwijage
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni