Jose Mourinho
Kocha Jose
Mourinho amesema ataendelea kumuwania mshambuliaji wa Manchester
United, Wayne Rooney hadi siku ya mwisho ya kufungwa pazi la usajili
nchini Uingereza.
Kocha huyo wa
Chelsea ameamua kuwa king'ang'anizi licha ya klabu ya Manchester
United kumtolea nje kuwa Rooney hauzwi.
Aidha , Mourinho
amekanusha kuhusika kumshawishi David Luiz kuondoka Chelsea katika
msimu huu wa usajili wa majira ya joto.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni