.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 8 Agosti 2013

WATALII WAMWAGIWA TINDIKALI ZANZIBAR


Watalii wawili wanawake raia wa Uingereza waliokuwa kwenye matembezi yao jana jioni eneo la Mji Mkongwe visiwani Zanzibar wamejeruhiwa vibaya baada ya kumwagiwa tindikali na watu wasiojulikana waliokuwa na usafiri wa pikipiki aina ya Vespa.

Taarifa zaidi kutoka visiwani humo zinasema watalii hao walikuwa katika matembezi yao ya kawaida kujionea mji huo, ndipo ghafla wakatokea watu hao na kuwamwagia tindikali usoni na kisha kukimbia.
Watalii hao wamesafirishwa kuja Dar es Salaam kwa matibabu zaidi.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni