Makamu wa Rais Dkt Mohammedi Gharib Bilal ambaye alikuwa mgeni rasmi katika hafla ya usiku ya chakula cha hisani ililyoandalaiwa na Amref Tanzania kwa kushirikiana na Montage ltd na Benki M, akipokea mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi milioni 25 za Kitanzania kutoka kwa mwakilishi wa Nbc Benki kama mchango wao kuunga mkono kampeni ya Stand Up for Tanzania Mother ambayo ina lengo la kukusanya fedha kwa ajili ya kuwasomesha wakunga ili kusaidia kupunguza vifo vya mama na mtoto nchini.
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Montage Limited, Bi Teddy Mapunda akitoa neno la shukrani kwa wadhamini na wahisani mbalimbali waliochangia kufanikisha hafla hiyo iliyofanyika kwa kufana sana jana usiku katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni