Aliyekuwa kocha wa Tottenham Villas-BoasTimu ya Tottenham imemtimua kocha wake Mreno Villas-Boas baada ya kufungwa mabao 5 - 0 na timu ya Liverpool hapo jana katika mchezo wa ligi kuu ya Uingereza inayoendelea.
Hii ni mara ya pili kwa kocha huyo kutupiwa virago, mara ya kwanza alitimuliwa Chelsea

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni