Sulley Muntari
amefunga bao la kuisawazisha la AC Milan katika kipindi cha pili
wakati Roma ikipoteza kuongoza mara mbili katika dimba la San Siro na
kupoteza poindi mbili katika mchezo ulioishia kwa mabao 2-2 wa Ligi
Kuu ya Italia.
Katika mchezo huo
Roma iliongoza kwa kufunga bao la kwanza kupitia Kevin Strootman
kupitia pande la Mattia Destro, kabla ya AC Milan kuzawazisha kupitia
Christian Zapata. Wageni Roma waliongeza bao la pili kwa penati
lakini Muntari akasawazisha.



Hakuna maoni :
Chapisha Maoni