Kiongozi wa waasi
wa Sudan Kusini Riek Machar ameviambia vyombo vya habari kuwa
mashtaka ya uhaini aliyofunguliwa yeye na washirika wake ni uongo na
hayana msingi.
Machar ambaye
anakimbia vyombo vya dola, amesema anamatarajio mazungumzo ya mgogoro
huo yatasaidia kuachiwa huru kwa washirika wake wanne wanaoshikiliwa.
Maafisa wa
Serikali ya Sudan Kusini hivi karibuni walitangaza majina saba ya
wanasiasa waliofunguliwa mashtaka kwa kuhusika na uhaini Desemba
mwaka jana.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni