Serikali ya Tanzania imepiga marufuku
usafirishaji wa nguruwe nchi nzima bila ya kupata kibali maalum
kufuatia kuibuka kwa ugonjwa wa homa ya nguruwe.
Agizo hilo limetolewa leo Songea na
Waziri wa Kilimo na Maendeleo ya Uvuvi Dk. Titus Kamani, ikiwa ni
siku moja tu tangu kuripotiwa mlipuko wa ugonjwa wa homa ya nguruwe
Mkoani Mbeya.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni