.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 3 Machi 2014

FILAMU ZA 12 YEARS A SLAVE NA GRAVITY ZACHOTA TUZO ZA OSCARS



Filamu ya Historia ya 12 Years a Slave imeshinda tuzo ya filamu bora katika tuzo za 86 za Oscars, huku filamu ya anga ya Gravity ikitwaa tuzo kadhaa.

Mungozaji wa Gravity Alfonso Cuaron amekuwa Mlatino wa kwanza kutwaa tuzo ya muongozaji bora wakati filamu hiyo ikitwaa tuzo sita za Oscars.

Cate Blanchett ametajwa kuwa muigizaji bora wa kike, kwa uhusika wake kwenye filamu ya Blue Jasmine nae Matthew McConaughey ameshinda tuzo ya muigizaji bora kwa uhusika wake kwenye filamu ya Dallas Buyers Club.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni