Nchi ya Urusi imeongeza kujiimarisha kushikilia kwa nguvu mkoa wa Crimea, kinyume na sheria za kimataifa licha ya shinikizo la kuitaka iondoe vikosi vyake.
Maelfu ya vikosi vya jeshi la Urusi wanashikilia mkoa huo, huku vifaru na meli zaidi za nchi hiyo zikipelekwa.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)


Hakuna maoni :
Chapisha Maoni