Mwanamuziki huyo kama kawaida yake alikuwa amevaa kofia yake kubwa ambayo imekuwa ni kitambulisho cha muonekano wake marufu, tangu aivae kofia aina hiyo mara ya kwanza kwenye tuzo za Grammys na kuzua gumzo.
Jumatatu, 3 Machi 2014
PHARELL WILLIAMS AKONGA NYOYO TUZO ZA OSCAR NA WIMBO WAKE HAPPY
Mwanamuziki Pharrell Williams aliweza kukonga nyoyo katika sherehe za tuzo za Oscars wakati wa ufunguzi akiimba kibao chake kikali cha Happy, huku akicheza na muigizaji filamu Lupita Nyong'o, Meryl Streep na Amy Adams.
Mwanamuziki huyo kama kawaida yake alikuwa amevaa kofia yake kubwa ambayo imekuwa ni kitambulisho cha muonekano wake marufu, tangu aivae kofia aina hiyo mara ya kwanza kwenye tuzo za Grammys na kuzua gumzo.
Mwanamuziki huyo kama kawaida yake alikuwa amevaa kofia yake kubwa ambayo imekuwa ni kitambulisho cha muonekano wake marufu, tangu aivae kofia aina hiyo mara ya kwanza kwenye tuzo za Grammys na kuzua gumzo.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni