.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 4 Machi 2014

KUNYWA POMBE KUPITA KIASI KUNASABABISHA KIFO

 Uchunguzi umeonyesha kuwa, kunywa pombe kupita kiasi kunaweza kusababisha kifo kwa mnywaji kutokana na kuleta madhara kiafya. Uchunguzi huo umeonyesha walio katika hatari zaidi ni wale wanaokunywa pombe kila siku ( siku 7 katika juma )
       Mwanadada huyu akiwa amelala barabarani baada ya kuzidiwa na kilevi

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni