.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 4 Machi 2014

URUSI YADAI VIKTOR YANUKOVYCH ALIIOMBA MSAADA WA KIJESHI URUSI

Mjumbe wa Urusi katika Umoja wa Mataifa amesema rais wa Ukraine aliyeondolewa madarakani Viktor Yanukovych aliiomba Urusi kupeleka wanajeshi wake katika nchi hiyo.

Mjumbe huyo Vitaly Churkin ameliambia baraza la usalama la umoja wa mataifa kuwa Yanukovych alimuandikia Rais Vladimr Putin kumuomba apelekea wanajeshi kumsaidia.

Madai hayo ya Urusi yamepuuziwa na wajumbe wa baraza hilo wa nchi za Magharibi na kuyaita kuwa yasiyo na msingi.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni