Watafiti wa masuala ya afya wamebaini
kitendo cha mtu kuwa na hasira mno kinamhatarisha kupatwa na tatizo
la shambulio la moyo.
Watafitia hao wa Marekani wamesema
hasira huchochea tatizo la shambulio la moyo, ambalo limekuwa
likisababisha vifo.
Watafiti hao wameainisha kuwa mtu
huweza kupata shambulio la moyo ndani ya muda wa saa mbili tangu
kupandwa na hasira.

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni