Katibu Mkuu wa
CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa wilaya ya Kigoma mjini
bila kujali mvua,ambapo alisisitiza kuwa CCM itatekeleza kila
walichoahidi.
Kila mtu alijikinga na mvua kwenye uwanja wa Mwanga Community Centre
Viti vikitumika
kujikinga na mvua iliyokuwa inanyesha wakati wa mkutano wa CCM
uliofanyika kwenye viwanja vya Mwanga Community Centre wilaya ya Kigoma
mjini.
Katibu Mkuu wa
CCM Ndugu Abdulrahman Kinana,Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye
(wa kwanza kulia),Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kigoma Dk. Aman Walid
Kaborou, Balozi Karume na Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Kanali Mstaafu Issa
Machibya wakiwa wamesimama kwenye jukwaa kuu wakati wa mkutano wa
hadhara bila kujali mvua kubwa iliyokuwa inanyesha.
Mbunge wa Kigoma
mjini Mheshimiwa Peter Serukamba akiwahutubia wakazi wa Kigoma mjini
kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Mwanga
Community Centre na kuwaambia kuwa Kigoma imebadilika na bado anapigania
wananchi hao wapate maji salama na ya kutosha.
Upinde wa Mvua
unaonekanika kabla mvua kubwa haijanyesha kwenye viwanja vya Mwanga
Community Centre ambapo mkutano mkubwa wa CCM ulikuwa unafanyika.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)






Hakuna maoni :
Chapisha Maoni