.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 15 Aprili 2014

MAJAMBAZI YAPORA KIASI KIKUBWA CHA FEDHA BENKI YA BARCLYAS KINONDONI

                                                               Kamanda Suleiman Kova

Watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi wamevamia benki ya Barclays tawi la Kinondoni Jijini Dar es Salaam na kupora kiasi kikubwa cha fedha ambazo idadi yake haijajulikana mara moja.

Tukio hilo limetokea leo majira ya saa nne katika tawi la benki hiyo iliyopo Kinondoni eneo la Bakwata likihusisha watu watatu waliokuwa na pikipiki mmoja wao akiwa na bastola.

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova amefika katika eneo la tukio hilo akiwa na askari wa upelelezi ili kuchunguza tukio hilo.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni