Mwanamuziki maarufu nchini Rwanda
pamoja na mwandishi mmoja mwandamizi wa nchi hiyo wamekamatwa kwa
tuhuma za kujihusisha na upinzani pamoja na waasi.
Mwandishi Cassien Ntamuhanga, ambaye ni
Mkurugenzi wa Redio moja ya kikristo amekamatwa jana huku mwanamuziki
Kizito Mihigo akikamatwa Ijumaa ya wiki iliyopita.
Waasi wa Kihutu wa Rwanda National Congress (RNC)


Hakuna maoni :
Chapisha Maoni