Zaidi ya watu 70 wamethibitishwa kufa
kutokana na mlipuko wa bomu katika kituo cha mabasi kilichokuwa na
watu wengi nje ya mji wa abuja nchini Nigeria.
Mlipuko huo umetokea jana asubuhi
wakati abiria wakiwa wanapanda mabasi pamoja na taksi kwenye kituo
hicho kwenda kazini kati kati ya Abuja.


Hakuna maoni :
Chapisha Maoni