.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 15 Aprili 2014

OPHRAH WINFREY ASABABISHA PHARRELL WILLIAMS KUTOKWA NA MACHOZI KATIKA MAHOJIANO

Mtangazaji mkongwe wa vipindi vya runing nchini Marekani Oprah Winfrey amepelekea mwanamuziki ambae pia ni prodyuza Pharrell Williams kutokwa na machozi katika shoo ya TV ya OWN ilioonyeshwa jana usiku.

Pharrell alidondosha machozi ya furaha, pale Oprah alipomuonyesha video za mashabiki wake mbalimbali duniani kutoka London, Phillippiness, Afrika, Iceland pamoja na nchi nyingine walizopiga wakiimba wimbo wake unaotamba wa Happy.
                          Oprah akimpatia Pharrell kitambaa cha kufutia machozi

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni