.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 15 Aprili 2014

MAKAMU WA RAIS DK. MOHAMED GHARIB BILAL AONGOZA MAELFU YA WAOMBOLEZAJI KATIKA MSIBA WA MAREHEMU MUHIDIN MAALIM GURUMO HII LEO

 Mkuu wa wilaya ya Kinondoni, Jordan Rugimbana ( wa kwanza kushoto ) akiwa na viongozi wengine akiwemo Mbunge wa Ilala, Mh Mussa Azan Zungu ( mwenye shati jeupe ) wakiwa katika mstari tayari kumpokea Makamu wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilal nyumbani kwa marehemu Muhidin Maalim Gurumo
 Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal akiwasili katika msiba wa mwanamuziki mkongwe nchini Muhidin Maalim Gurumo
 Makamu wa Rais, Dk. Mohamed Gharib Bilal akisalimiana na viongozi mbalimbali alipowasili msibani hapo
 Makamu wa Rais Dk. Bilal akiwapungia waombolezaji katika msiba wa mwanamuziki Muhidin Maalim Gurumo aliyefariki dunia juzi jumapili
                                                                  Waombolezaji wakiwa msibani
 Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal akifuatilia shughulizi zilizokuwa zinaendelea, alipofika katika msiba wa mwanamuziki mkongwe nchini Muhidin Maalim Gurumo aliyefariki siku ya jumapili katika hospitali ya Taifa Muhimbili, kabla ya kupelekwa Masaki wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani kwa mazishi yatakayofanyika leo
 Mmoja wa wanafamilia akisoma wasifu wa marehemu Muhidin Maalim Gurumo " Kamanda "
                                                        Waombolezaji wakiwa msibani hapo
 Kiongozi wa Msondo Ngoma Music Band, Said Mabera akisoma salaam za rambi rambi
                                   Salaam za rambi rambi toka serikali zikiwasilishwa
 Mwanamuziki Ally Choki akihojiwa na waandishi wa habari. Ally Choki amepata kuingia studio na kuurudia wimbo maarufu wa Kasimu akiwa Muhidin Maalim Gurumo
                                                                 Sala ikiendelea msibani hapo
 Msanii maarufu wa maigizo nchini, JB akiongea jambo na Mkurugenzi wa Radio One, Deogratius Rweyunga huku aliyepata kuwa meneja wa klabu ya Simba Evarist Hagilla ( katikati ) akifuatilia kwa makini
 Mwili wa marehemu, Muhidin Maalim Gurumo ukiondolewa nyumbani kwake Mabibo External tayari kuelekea Masaki wilyani Kisarawe mkoani Pwani kwa maziko.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni