
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia, wakati alipofika kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kufungua Kongamano la Mradi wa Maisha kuhusu Afya ya Mama na Mtoto. Picha na OMR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiangalia na kupata maelezo kutoka kwa Meja Ali Kitundu, kuhusu elimu ya awali kwa wanafunzi wanaojifunza elimu ya afya kabla ya ajila., wakati alipofika kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kufungua Kongamano la Mradi wa Maisha kuhusu Afya ya Mama na Mtoto. Kutoka kulia ni Dkt. Grace Qoro, Waratibu wa mradi huo, Jasmine Chechewa na Shallah Ukende. Picha na OMR
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni