MVUA ZA JANA ZASABABISHA KIZAA ZAA KWA WAKAZI WA JIJI LA DAR
Mto Mbezi eneo la Makongo Juu jijini Dar es Salaam ukiwa umefurika maji kufuatia mvua zilizonyesha jana. Kingo za mto huo zimemomonyoka kiasi, na hivyo kutishia nyumba za wakazi waliojenga jirani na mto huo
Hakuna maoni :
Chapisha Maoni