.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumapili, 13 Aprili 2014

MVUA ZAKATA MAWASILIANO SEHEMU MBALIMBALI NCHINI

 Lori la kubebea mafuta likiwa limetumbukia darajani baada ya kukatika kwa  daraja hilo. 

Taaarifa iliyotolewa mapema leo imethibitisha kuvunjika kwa madaraja mengi hasa yale madogo kutokana na mvua zinazonyesha sehemu mbalimbali nchini hivyo kufanya mawasiliano baina ya mkoa na mkoa kukatika
Nyumba hizi zikiwa zimefunikwa na maji yaliyojaa kutokana na mvua mtaa wa msimbazi Dar es Salaam

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni