.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumanne, 15 Aprili 2014

VIJANA WA MPINGA HAMJALIONA HILI LORI!!

Lori la mizigo lililokuwa limesheheni mifuko ya cement likikatiza katika barabara ya Rose Garden mikocheni jijini Dare es Salaam. 

Barabara hii hairuhusu magari yenye uzito mkubwa kupita. Tayari barabara hiyo imeanza kuharibika na kutengeneza mashimo, hali ambayo inatishia ajali kutoka na madereva kuyakwepa mashimo hayo, hivyo kutoka upande mmoja kwenda mwingine.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni