.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatatu, 14 Aprili 2014

WAHAMIAJI HARAMU 100 WAKAMATWA MOMBASA KATIKA OPERESHENI YA KUKABILIANA NA UGAIDI

Zaidi ya wahamiaji haramu 100 kutoka nchi ya Somalia na nchi nyingine wamekamatwa katika maeneo kadhaa ya Mombasa usiku wa Jumamosi, wakati operesheni ya kukabiliana na magaidi ikifika mkoa wa Pwani.

Jeshi la polisi Kenya limesema kuwa wengi wao waliokamatwa eneo la Changamwe walikuwa wamewasili Mombasa ili kujificha eneo hilo wakitokea Eastleigh, Nairobi ambako walikuwa wamekimbia msako ulioendeshwa huko.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni