.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Jumatano, 14 Mei 2014

BEKI NEMANJA VIDIC AKANUSHA KUWA WACHEZAJI WALIMDHARAU KOCHA DAVID MOYES

Beki Nemanja Vidic amekanusha tuhuma kuwa wachezaji wa Manchester United waliacha kufanya jitihada wakati wakinolewa na kocha David Moyes.

Katika mahojiano ya kina aliyofanya na BBC, Vidic ameelezea namna wachezaji wa United walivyokuwa wakikabiliwa na machungu katika chumba cha kubadilishia nguo kutokana na matokeo mabaya, kiasi cha hata kulumbana kwa baadhi ya wachezaji.

Mchezaji huyo raia wa Serbia amekanusha kuwa Manchester United ilifanya vibaya kutokana na kutomuheshimu kocha David Moyes.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni