Gavana wa jimbo la Borno, Kashim Shettima amesema anazo taarifa za wapi wasichana zaidi wa 200 wailiotekwa na kundi la kigaidi la Boko Haramu walipo.
Gavana huyo amesema baada ya kupata taarifa hizo, na yeye tayari ameziwasilisha kwa jeshi kwa ajili ya ufuatiliaji zaidi.
Shettima amesema hana uhakika kama wasichana hao watakuwa wamevushwa mpaka na kupelekwa Chad au Cameroon.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni
(
Atom
)

Hakuna maoni :
Chapisha Maoni