Magari yakiwa katika foleni kubwa katika barabara ya Mwenge - Tegeta eneo la Makongo karibu na njia panda ya kuelekea Kawe. Foleni hii imesababishwa na kutumika kwa upande mmoja wa daraja linaloendelea kujengwa.
Kukamilika kwa barabara hii itakuwa ahueni kubwa kwa wakazi wa Mbezi Beach hadi Tegeta, kwani itapunguza foleni kwa kiwango kikubwa.


Hakuna maoni :
Chapisha Maoni