.

.

.

.

.

.

.

.
KARIBUNI TUHABARIKE, TUELIMISHANE, TUPEANE HABARI ZA KUKUFANYA UTABASAMU KIDOGO NA MATUKIO YALIYOFANYIWA UCHUNGUZI WA KINA TOKA KILA PEMBE CONTACTS: +255 787 377 722 Email: drweyunga@gmail.com PIA UNAWEZA KUNI FOLLOW KUPITIA INSTAGRAM YANGU @drweyunga | TANGAZA NASI ILI UWAFIKIE WATU WENGI ZAIDI.

Alhamisi, 15 Mei 2014

MATUKIO MBALIMBALI KATIKA BARABARA ZETU DAR

Lori hili la maji safi likiwa limeharibika katika moja ya barabara za ndani maeneo ya Kijitonyama na kufanya barabara hiyo kupitika kwa shida.
Gari hili likiwa limesheheni chupa tupu za plastiki maeneo ya Mikocheni upakiaji mzigo wa aina hii ni hatari kwa usalama barabarani.

Hakuna maoni :

Chapisha Maoni